• Latest
  • Hottest
  • Popular
  • Lowest price
  • Highest Price
  • Random
Jinsi Ya Kupika Chapati Tamu za Maji Tanzania

Jinsi Ya Kupika Chapati Tamu za Maji Tanzania

Mahitaji Ya Kupika Chapati za Maji 1. Ngano ½ kilo 2. Mayai 3 3. Mafuta ¼ kikombe 4. kitunguu kikubwa kilichosagwa 1 5. Kitunguu Swaumu punje 4 6. Chumvi ½ kijiko au zaidi kulingana na matakwa yako Jinsi Ya Kupika Chapati za Maji 1. Chekecha unga wako wa chapati vizuri weka katika bakuli safi. 2. ...

Soma Zaidi
Jinsi Ya Kupika Tambi za Dengu Tanzania

Jinsi Ya Kupika Tambi za Dengu Tanzania

Mahitaji Ya Kupika Tambi 1.    Unga wa dengu ½ kilo 2.    Binzari nyembamba ½ kijiko cha mezani 3.    Unga wa pilipili manga kijiko 1 cha chai 4.    Unga wa mchele ¼ kilo 5.    Chumvi kiasi 6.    Mafuta ya kula ½ lita 7.    Baking powder Jinsi Ya Kupika Tambi 1. Changanya unga wa mchele pamoja ...

Soma Zaidi
Jinsi Ya Kutengeza Peanut Butter Siagi Ya Karanga

Jinsi Ya Kutengeza Peanut Butter Siagi Ya Karanga

Mahitaji Ya Jinsi Ya Kutengeneza Peanut Butter 1. Karanga vikombe 2 2. Asali au sukari kijiko 1 na nusu cha chakula 3. Mafuta ya kupikia kijiko 1 na nusu cha chakula 4. Chumvi ½ kijiko cha chai Jinsi Ya Kutayarisha Peanut Butter 1. Kaanga karanga bila mafuta mpaka zikaangike vizuri yani maganda yaanze ...

Soma Zaidi
Jinsi Ya Kupika Chapati za Viazi Tanzania

Jinsi Ya Kupika Chapati za Viazi Tanzania

JINSI YA KUPIKA CHAPATI LAINI ZA VIAZI MAHITAJI YA KUPIKA CHAPATI DONGE LA CHAPATI Unga wa ngano vikombe 4 Mafuta viJiko 2 chakula Maji kiasi Siagi ½ kikombe UPANDE WA VIAZI VYA CHAPATI Viazi vilivyochemshwa na kupondwa 4 Chumvi kiasi Binzari ya unga ½ kiJiko chai Pilipili ya unga ½ ...

Soma Zaidi
Jinsi Ya Kupika Donati (Doughnut) Laini za Tanzania

Jinsi Ya Kupika Donati (Doughnut) Laini za Tanzania

Mahitaji Ya Kupika Doughnut 1. Unga wa ngano kilo 1 2. Mafuta ya kupikia donati lita 1 3. Sukari iliosagwa robo kilo 4. Hamira 5. Siagi 6. Maziwa robo lita 7. Mdalasini ulosagwa 8. Mayai 3 9. Baking powder kijiko 1 kikubwa Jinsi Ya Kupika Donati 1. Changanya unga na baking powder pamoja ...

Soma Zaidi
Jinsi Ya Kupika Vitumbua vya Mchele Tanzania

Jinsi Ya Kupika Vitumbua vya Mchele Tanzania

Mahitaji Ya Kupika Vitumbua 1. Mchele kilo 1 2. Nazi kubwa 2 3. Hiliki kiasi 4. Sukari robo kilo 5. Hamira kiasi kijiko kimoja nusu (itategemea aina ya hamira) 6. Mafuta nusu lita Jinsi Ya Kupika Vitumbua 1. Uloweke mchele uliokwisha uchambua vizuri na kuupeta 2. Utandaze sehemu safi ukauke, kisha ...

Soma Zaidi
Show next